Thursday 11 August 2016

Ikawe 63






+

Nikuite Nani [Intro] Lalah lalah lalah lalah lalah lalah (EIII eiiih) (Uuhh) Lalah lalah lalah lahlah lalah lalah Lalah lalah lalah lahlah lalah [Verso 1] Sifa kibao nishasema, Yote Sababu nimezama Uzuri Wako ndo unazidi nipa Homa Haki ya mi nani nitakatia Bima Mi sisikii Napata raha Nitasubiri más miel Na Sioni, karaha bebé Mucho tiempo nawe nimedata [Pre-Coro] Wajua Kwako mi mtoto ma Na jina lako nitachora tatuaje Ushanifit changu kiatu Wajua bebé vil Te amo Wajua Kwako mi mtoto ma Na jina lako nitachora tatuaje Ushanifit changu kiatu bebé Wajua vil Te amo [Chorus] Baby, mamii jina Sawa Gani ni? Nikuite nani, querida? Dime, Kwako Ikawe dawa La la lala lala lala lala lala lala lala La la lala lala lala [Verso 2] Kama Zawadi Dunia nitakupa, mamá nos uitawale (eiyeh) Mfano wa bahari Juu mamii naelea nimejifia Kwako nosotros (eyeh) Ukamilishe Uzima wangu, ukamilishe na nyumba yangu Ukawe Amani ya Moyo wangu Milele eyei Yei [Pre-Coro] Wajua Kwako mi mtoto ma Na jina lako nitachora tatuaje Ushanifit changu kiatu Wajua bebé vil Te amo Wajua Kwako mi mtoto ma Na jina lako nitachora tatuaje Ushanifit changu kiatu bebé Wajua vil Te amo [Chorus] Baby, mamii jina Sawa Gani ni? Nikuite nani, querida? Dime, Kwako Ikawe dawa La la lala lala lala lala lala lala lala La la lala lala lala yangu ina jina lako wewe [Puente] Mboni Nos jela yangu nimejifunga mwenyewe Watose wote sitopenda uchezewe Nakudhamini mimi Mboni yangu ina jina lako wewe Nos jela yangu nimejifunga mwenyewe Watose wote sitopenda uchezewe ehee [Chorus] Baby, mamii jina Sawa Gani ni? Nikuite nani, querida? Dime, Kwako Ikawe dawa La la lala lala lala lala lala lala lala La la lala lala lala [Outro] Aah AHA ahh Mmh MHH Eiye eiyeh MMH MHH Sí, Te amo bebé Su su chico, chico africano! Nikuite Nani [Intro] Lalah lalah lalah lalah lalah lalah (EIII eiiih) (Uuhh) Lalah lalah lalah lahlah lalah lalah Lalah lalah lalah lahlah lalah [Verso 1] Sifa kibao nishasema, Yote Sababu nimezama Uzuri Wako ndo unazidi nipa Homa Haki ya mi nani nitakatia Bima Mi sisikii Napata raha Nitasubiri más miel Na Sioni, karaha bebé Mucho tiempo nawe nimedata [Pre-Coro] Wajua Kwako mi mtoto ma Na jina lako nitachora tatuaje Ushanifit changu kiatu Wajua bebé vil Te amo Wajua Kwako mi mtoto ma Na jina lako nitachora tatuaje Ushanifit changu kiatu bebé Wajua vil Te amo [Chorus] Baby, mamii jina Sawa Gani ni? Nikuite nani, querida? Dime, Kwako Ikawe dawa La la lala lala lala lala lala lala lala La la lala lala lala [Verso 2] Kama Zawadi Dunia nitakupa, mamá nos uitawale (eiyeh) Mfano wa bahari Juu mamii naelea nimejifia Kwako nosotros (eyeh) Ukamilishe Uzima wangu, ukamilishe na nyumba yangu Ukawe Amani ya Moyo wangu Milele eyei Yei [Pre-Coro] Wajua Kwako mi mtoto ma Na jina lako nitachora tatuaje Ushanifit changu kiatu Wajua bebé vil Te amo Wajua Kwako mi mtoto ma Na jina lako nitachora tatuaje Ushanifit changu kiatu bebé Wajua vil Te amo [Chorus] Baby, mamii jina Sawa Gani ni? Nikuite nani, querida? Dime, Kwako Ikawe dawa La la lala lala lala lala lala lala lala La la lala lala lala yangu ina jina lako wewe [Puente] Mboni Nos jela yangu nimejifunga mwenyewe Watose wote sitopenda uchezewe Nakudhamini mimi Mboni yangu ina jina lako wewe Nos jela yangu nimejifunga mwenyewe Watose wote sitopenda uchezewe ehee [Chorus] Baby, mamii jina Sawa Gani ni? Nikuite nani, querida? Dime, Kwako Ikawe dawa La la lala lala lala lala lala lala lala La la lala lala lala [Outro] Aah AHA ahh Mmh MHH Eiye eiyeh MMH MHH Sí, Te amo bebé Su su chico, chico africano!




No comments:

Post a Comment